-
Mathayo 1:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Lakini uzaliwa wa Yesu Kristo ulikuwa katika njia hii. Katika wakati ambao Maria mama yake alikuwa ameposwa na Yosefu, alipatwa kuwa ana mimba kwa roho takatifu kabla ya wao kuungana pamoja.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anapata mimba kupitia roho takatifu; jinsi Yosefu alivyotenda (gnj 1 30:58–35:29)
-