-
Mathayo 1:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 “Tazama! Bikira atakuwa na mimba naye atazaa mwana, nao watamwita jina lake Imanueli,” ambalo litafsiriwapo humaanisha, “Pamoja Nasi Yuko Mungu.”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anapata mimba kupitia roho takatifu; jinsi Yosefu alivyotenda (gnj 1 30:58–35:29)
-