-
Mathayo 2:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 ‘Nawe, Ewe Bethlehemu la nchi ya Yuda, wewe si jiji duni zaidi sana kwa vyovyote miongoni mwa magavana wa Yuda; kwa maana kutoka kwako wewe atakuja mwenye kuongoza, atakayechunga watu wangu, Israeli.’”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Ziara ya wanajimu na njama ya Herode ya kuua (gnj 1 50:25–55:52)
-