- 
	                        
            
            Mathayo 2:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
8 Akawatuma Bethlehemu na kuwaambia: “Nendeni mkamtafute kwa uangalifu huyo mtoto, na baada ya kumpata mniletee habari, ili mimi pia niende kumsujudia.”
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Mathayo 2:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
8 na, wakati alipokuwa akiwatuma Bethlehemu, akasema: “Nendeni mkamtafute kwa uangalifu mtoto mchanga, na mkiisha kumpata leteni ripoti kwangu, ili mimi vilevile nipate kwenda na kumsujudia.”
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
 - 
                            
- 
                                        
Ziara ya wanajimu na njama ya Herode ya kuua (gnj 1 50:25–55:52)
 
 -