-
Mathayo 2:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Ndipo Herode, akiona ameshindwa akili na wale wanajimu, akaingiwa na hasira kali kubwa, akatuma nje na kuagiza wavulana wote katika Bethlehemu na katika wilaya zake zote wamalizwe, kuanzia umri wa miaka miwili kwenda chini, kulingana na wakati aliokuwa amehakikisha kwa uangalifu kutoka kwa wale wanajimu.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Herode awaua wavulana wadogo Bethlehemu na katika wilaya zake zote (gnj 1 57:35–59:32)
-