-
Mathayo 3:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Sepetu yake ya kupepetea imo mkononi mwake, naye atasafisha kabisa sakafu yake ya kupuria, na atakusanya ngano yake ghalani lakini makapi atayachoma kabisa kwa moto usioweza kuzimwa.”
-