-
Mathayo 4:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Ndipo akaenda akizunguka kotekote katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao na kuhubiri habari njema ya ufalme na kuponya kila namna ya maradhi na kila namna ya udhaifu miongoni mwa watu.
-