-
Mathayo 6:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Hata hivyo, wewe usalipo ingia ndani ya chumba chako cha faragha na, baada ya kufunga mlango wako, sali kwa Baba yako aliye katika siri; ndipo Baba yako atazamaye katika siri atakurudishia wewe.
-