-
Mathayo 7:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa hiyo, ikiwa nyinyi, mjapokuwa waovu, mwajua jinsi ya kuwapa watoto wenu zawadi zilizo nzuri, si zaidi sana hivyo Baba yenu aliye katika mbingu atawapa vitu vyema wale wanaomwomba?
-