-
Mathayo 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kwa maana mimi pia niko chini ya mamlaka, na nina wanajeshi walio chini yangu, nami humwambia mmoja, ‘Nenda!’ naye huenda, na mwingine, ‘Njoo!’ naye huja, na mtumwa wangu, ‘Fanya hili!’ naye hulifanya.”
-
-
Mathayo 8:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa maana mimi pia ni mtu aliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari-jeshi chini yangu, nami humwambia huyu, ‘Shika njia yako uende!’ naye hushika njia yake na kwenda, na kwa mwingine, ‘Njoo!’ naye huja, na kwa mtumwa wangu, ‘Fanya hili!’ naye hulifanya.”
-