-
Mathayo 8:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini nawaambia nyinyi kwamba wengi kutoka sehemu za mashariki na sehemu za magharibi watakuja na kuegama kwenye meza pamoja na Abrahamu na Isaka na Yakobo katika ufalme wa mbingu;
-