-
Mathayo 8:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Basi akawaambia: “Nendeni!” Wakatoka na kwenda zao kuingia katika wale nguruwe; na, tazama! kundi zima likatimua mbio kali juu ya genge kuingia katika bahari na kufa katika yale maji.
-