-
Mathayo 9:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Hata hivyo, kusudi nyinyi mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka juu ya dunia kusamehe dhambi—” ndipo akamwambia mwenye kupooza: “Inuka, chukua kitanda chako, na kwenda nyumbani kwako.”
-