-
Mathayo 9:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Halafu, alipokuwa akipita kutoka hapo, Yesu akaona mara hiyo mtu fulani aitwaye jina Mathayo akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, naye akamwambia: “Uwe mfuasi wangu.” Mara akainuka na kumfuata.
-