-
Mathayo 10:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Yeye aliye na shauku kubwa zaidi kwa baba au mama kuliko kwangu hanistahili mimi; na yeye aliye na shauku kubwa zaidi kwa mwana au binti kuliko kwangu hanistahili mimi.
-