-
Mathayo 12:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha akamwambia mtu huyo: “Nyoosha mkono wako.” Akaunyoosha, nao ukawa mzima kama ule mkono mwingine.
-
-
Mathayo 12:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Ndipo akamwambia huyo mtu: “Nyoosha mkono wako.” Naye akaunyoosha, nao ukarudishwa kuwa timamu kama ule mkono mwingine.
-