-
Mathayo 12:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini Mafarisayo wakaenda nje na kupanga njama ili wamuue.
-
-
Mathayo 12:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini Mafarisayo wakatoka kwenda na kufanya shauri dhidi yake ili wapate kumwangamiza.
-