-
Mathayo 12:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Hakuna tete lililochubuliwa ambalo ataliponda, na hakuna utambi wa kitani-ghafi unaofuka moshi atakaouzima, mpaka atakapoipeleka haki kwenye fanikio.
-