-
Mathayo 12:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Zaidi ya hayo, ikiwa ninawafukuza roho waovu kupitia Beelzebuli, wana wenu wanawafukuza kupitia nani? Hiyo ndiyo sababu watakuwa waamuzi wenu.
-
-
Mathayo 12:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Zaidi ya hayo, ikiwa mimi nafukuza roho waovu kwa njia ya Beelzebubi, ni kwa njia ya nani wana wenu huwafukuza? Hiyo ndiyo sababu wao watakuwa mahakimu wenu.
-