-
Mathayo 12:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Au yeyote anawezaje kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuchukua mali zake isipokuwa kwanza amfunge mtu huyo? Hapo ndipo anaweza kuipora nyumba yake.
-
-
Mathayo 12:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Au yeyote awezaje kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kukamata bidhaa zake zenye kuchukulika, isipokuwa kwanza amfunge huyo mtu mwenye nguvu? Na ndipo atakapoipora nyumba yake.
-