-
Mathayo 12:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 “Ama nyinyi watu ufanyeni mti uwe bora na matunda yao yawe bora ama ufanyeni mti uwe uliooza na matunda yao yawe yaliyooza; kwa maana kwa matunda yao mti hujulikana.
-