-
Mathayo 12:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Ndipo ashikapo njia yake na kwenda kuchukua roho tofauti saba walio waovu zaidi yake mwenyewe, na, baada ya kuingia ndani, wao hukaa humo; na hali za mwisho za mtu huyo huwa mbaya zaidi kuliko zile za kwanza. Hivyo ndivyo itakavyokuwa pia kwa kizazi kiovu hiki.”
-