-
Mathayo 13:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Lakini hana mizizi ndani yake bali anaendelea kwa wakati fulani, hata hivyo dhiki au mateso yakitokea kwa sababu ya lile neno mara moja anakwazika.
-
-
Mathayo 13:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini hana mzizi ndani yake mwenyewe bali huendelea kwa wakati fulani, na dhiki au mnyanyaso vikiisha kutokea kwa sababu ya lile neno yeye hukwazika mara moja.
-