-
Mathayo 13:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Kwa kweli, mbegu hiyo ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini inapokua huwa kubwa kuliko mimea yote ya mboga na huwa mti, hivi kwamba ndege wa angani huja na kupata makao katika matawi yake.”
-
-
Mathayo 13:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 ambayo, kwa kweli, ndiyo mbegu ndogo zaidi sana kati ya zote, lakini wakati imepata kukua ndiyo iwayo kubwa zaidi sana kati ya mboga zote nayo huwa mti, hivi kwamba ndege wa mbinguni huja na kupata makao katikati ya matawi yake.”
-