-
Mathayo 14:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Aliposikia hilo Yesu akaondoka hapo kwa mashua kwenda katika mahali pa upweke ili kuwa peke yake; lakini umati, ukipata kusikia juu ya hilo, ukamfuata kwa miguu kutoka kwenye majiji.
-