-
Mathayo 15:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Je, hamjui kwamba chochote kinachoingia kinywani hupita tumboni kisha hutoka na kuingia chooni?
-
-
Mathayo 15:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Je, hamjui kwamba kila kitu kiingiacho katika kinywa hupita ndani ya matumbo na huondoshwa kuingia katika mtaro wa takataka?
-