-
Mathayo 16:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kizazi kiovu na chenye uzinzi hufuliza kutafuta ishara, lakini hakuna ishara kitakayopewa ila ile ishara ya Yona.” Ndipo akaenda zake, akiwaacha nyuma.
-