-
Mathayo 16:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa maana Mwana wa binadamu akusudiwa kuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake, na ndipo atakapomlipa kila mmoja kulingana na mwenendo wake.
-