-
Mathayo 17:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa kujibu Yesu akasema: “Ewe kizazi kisicho na imani na kilichopotoka, ni kwa muda gani lazima niendelee kuwa pamoja nanyi? Ni kwa muda gani lazima nichukuliane nanyi? Mleteni hapa kwangu.”
-