-
Mathayo 18:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Lakini yeyote yule akwazaye mmoja wa wadogo hawa wawekao imani katika mimi, ni jambo lenye manufaa zaidi kwake jiwe la kusagia kama lile lizungushwalo na punda lining’inizwe kuzunguka shingo yake na kuzamishwa katika bahari pana, iliyo wazi.
-