-
Mathayo 18:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ndipo bwana wake akiwa amekasirika sana, akamkabidhi kwa walinzi wa jela mpaka alipe deni lake lote.
-
-
Mathayo 18:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Ndipo bwana-mkubwa wake, kwa kuchokozwa kuwa na hasira ya kisasi, akamkabidhi kwa walinzi wa jela, mpaka alipe vyote vilivyokuwa vikiwiwa.
-