-
Mathayo 19:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Yesu akawaambia: “Kwa kweli nawaambia nyinyi, Katika uumbaji-upya wakati Mwana wa binadamu aketipo juu ya kiti chake cha ufalme chenye utukufu, nyinyi ambao mmenifuata mtaketi nyinyi wenyewe pia juu ya viti vya ufalme kumi na viwili, mkihukumu yale makabila kumi na mawili ya Israeli.
-