-
Mathayo 20:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yeye akamwambia: “Wataka nini?” Akamwambia: “Toa agizo ili wana wangu wawili hawa wapate kuketi, mmoja kwenye mkono wako wa kuume na mmoja kwenye mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.”
-