-
Mathayo 20:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Lakini umati ukawaambia kwa kusisitiza wafulize kukaa kimya; na bado wao wakalia kwa sauti kubwa hata zaidi, wakisema: “Bwana, uwe na rehema juu yetu, Mwana wa Daudi!”
-