-
Mathayo 21:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Ndiyo sababu ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa linalozaa matunda yake.
-
-
Mathayo 21:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 Hiyo ndiyo sababu nawaambia nyinyi, Ufalme wa Mungu utachukuliwa kutoka kwenu na kupewa kwa taifa lenye kutokeza matunda yao.
-