-
Mathayo 22:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Basi watumwa hao wakatoka kwenda kwenye barabara na kukusanya pamoja wote waliowakuta, waovu na wema pia; na chumba cha sherehe za arusi kikajazwa wale wenye kuegama kwenye meza.
-