-
Mathayo 22:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Basi akamuuliza, ‘Mwenzangu, umeingiaje humu bila vazi la ndoa?’ Akakosa la kusema.
-
-
Mathayo 22:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa hiyo akamwambia, ‘Jamaa, uliingiaje humu ukiwa hujavaa vazi la ndoa?’ Akafanywa kuwa bila la kusema.
-