-
Mathayo 24:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 “Mara baada ya ile dhiki ya siku hizo jua litatiwa giza, nao mwezi hautatoa nuru yao, nazo nyota zitaanguka kutoka mbinguni, nazo nguvu za mbingu zitatikiswa.
-