-
Mathayo 25:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 “Ndipo Mfalme atawaambia wale walio kwenye mkono wake wa kuume: ‘Njooni, ninyi ambao mmebarikiwa na Baba yangu, urithini Ufalme uliotayarishwa kwa ajili yenu tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu.
-
-
Mathayo 25:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 “Ndipo mfalme atakapowaambia wale walio kwenye mkono wake wa kuume, ‘Njoni, nyinyi ambao mmebarikiwa na Baba yangu, rithini ufalme uliotayarishwa kwa ajili yenu tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu.
-