-
Mathayo 25:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Kwa maana nilipata kuwa mwenye njaa nanyi mkanipa kitu cha kula; nilipatwa na kiu nanyi mkanipa kitu cha kunywa. Nilikuwa mgeni nanyi mkanipokea kwa ukaribishaji-wageni;
-