-
Mathayo 25:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Kwa maana nilikuwa na njaa, lakini hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu, lakini hamkunipa kinywaji.
-
-
Mathayo 25:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Kwa maana nilipata kuwa mwenye njaa, lakini hamkunipa kitu chochote cha kula, nami nilipatwa na kiu, lakini hamkunipa kitu chochote cha kunywa.
-