-
Mathayo 26:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Ndipo Yesu akaja pamoja nao hadi mahali paitwapo Gethsemane, naye akawaambia wanafunzi: “Ketini hapa wakati niendapo pale na kusali.”
-