-
Mathayo 26:47Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
47 Na alipokuwa bado akisema, tazama! Yudasi, mmoja wa wale kumi na wawili, akaja na pamoja naye umati mkubwa ukiwa na mapanga na marungu umetoka kwa makuhani wakuu na wanaume wazee wa watu.
-