-
Mathayo 26:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 Lakini, tazama! mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyoosha mkono wake na kufuta upanga wake na kumpiga mtumwa wa kuhani wa cheo cha juu na kuondoa sikio lake.
-