-
Mathayo 26:55Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
55 Katika saa hiyo Yesu akauambia umati: “Je, mmetoka mkiwa na mapanga na marungu kama dhidi ya mpokonyaji ili kunikamata? Siku baada ya siku nilikuwa na kawaida ya kuketi katika hekalu nikifundisha, na bado hamkunikamata.
-