-
Mathayo 26:57Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
57 Wale waliomkamata Yesu wakamwongoza kwa Kayafa kuhani wa cheo cha juu, ambako waandishi na wanaume wazee walikuwa wamekusanywa pamoja.
-