-
Mathayo 26:62Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
62 Ndipo kuhani wa cheo cha juu akasimama na kumwambia: “Je, huna jibu? Ni nini hili ambalo hawa wanashuhudia dhidi yako?”
-