-
Mathayo 27:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Ndipo Yudasi, aliyemsaliti, alipoona kuwa amekwisha kuhukumiwa adhabu, akahisi majuto akavirudisha vile vipande thelathini vya fedha kwa makuhani wakuu na wanaume wazee,
-