-
Mathayo 27:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ndipo yakatimia maneno haya yaliyosemwa kupitia nabii Yeremia: “Nao wakavichukua vile vipande 30 vya fedha, bei iliyoamuliwa juu ya mtu huyo, ambaye bei yake iliamuliwa na baadhi ya wana wa Israeli,
-
-
Mathayo 27:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Ndipo lililosemwa kupitia Yeremia nabii likatimizwa, akisema: “Nao walichukua vile vipande thelathini vya fedha, ambayo ni bei juu ya mtu aliyepigwa bei, ambaye juu yake baadhi ya wana wa Israeli walipiga bei,
-