-
Mathayo 28:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Baada ya wakuu wa makuhani na wazee kukutana na kushauriana, wakawapa wale wanajeshi kiasi kikubwa cha fedha
-
-
Mathayo 28:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Na walipokuwa wamekusanyika pamoja wakiwa na wanaume wazee na kufanya shauri, wakawapa hao askari-jeshi kiasi cha kutosha cha vipande vya fedha
-